Our Work in Morogoro
Hizi ni baadhi ya sites ambazo tumefanya installation na technology solutions katika maeneo mbalimbali ya Morogoro na maeneo ya jirani. Kazi zetu zinahusisha CCTV, TV systems, WiFi, smart locks, fire alarm, sound systems na solutions nyingine za security na ICT.
Selected Sites We Have Served
Tunapenda kuonyesha kazi halisi tulizofanya. Kila site hapa chini inaonyesha eneo, huduma tulizofanya na picha za installation.
Moro Finest Pool Club
Mteja alituita kwa ajili ya CCTV cameras. Baada ya kufanya site survey tulipendekeza kuongeza camera moja zaidi ili coverage iwe bora. Mteja alikubali ushauri wetu na tukafanya installation ya mfumo.
Pia tulifanya WiFi na TV systems pamoja na installation ya dish za Azam na DStv.
Services Provided
Lumbe Royal Park
Lumbe Royal Park ilianza kwa kutuita kwa ajili ya CCTV. Baada ya kuona kazi yetu na kuridhika na installation, walitupa pia kazi ya TV systems.
Baadaye tuliwashauri kuhusu WiFi na wakakubali tukafanya installation. Pia walihitaji smart locks za card na telephone systems.
Tumekuwa pia tukiwasaidia kwenye maboresho mengine ya jengo kama AC services, umeme, painting, signage na design pamoja na counter ya bar.
Services Provided
4U Lodge
4U Lodge ilikuwa moja ya projects ambazo mmiliki alitupa kama opportunity ya kutu-test. Baada ya kuridhika na workmanship na functionality ya mfumo, akaendelea kutupa project nyingine.
Tuli-install CCTV na kumuwezesha mmiliki ku-view cameras akiwa eneo la tukio na pia akiwa nje ya eneo hilo kupitia simu.
Services Provided
Japrima Lodge
Baada ya kufanikiwa kwenye project ya 4U Lodge, mmiliki huyo huyo alitupa pia kazi ya Japrima Lodge. Tuli-install CCTV na kuweka mfumo wa remote viewing.
Mmiliki anaweza kufuatilia cameras akiwa ndani ya lodge au akiwa nje ya eneo la biashara kupitia simu.
Services Provided
Timeless Morogoro Hotel
Timeless Morogoro Hotel ni moja ya projects tulizofanya kwenye hospitality sector, tukitoa solutions zaidi ya mfumo mmoja kulingana na mahitaji ya jengo.
Kazi zilihusisha TV systems, fire alarm system pamoja na sound system installation.
Services Provided
Monarisa Apartment
Tulifanya installation ya CCTV system kwa ajili ya kuongeza security na monitoring kwenye property, pia tulifunga Solar lights na WIFI.
Services Provided
Kijaze Executive Lodge
Kijaze Executive Lodge tulifanyia TV systems pamoja na WiFi installation kwa ajili ya kuboresha huduma na connectivity ndani ya lodge.
Services Provided
The Canaan
Tulifanya TV system installation kwa The Canaan Lounge, Area 5 Morogoro, kwa kuzingatia positioning, neat finishing na matumizi ya eneo.
Services Provided
Fajeez Lodge
Fajeez Lodge, Mlimba, ni moja ya hospitality projects tulizofanyia TV systems installation. Kazi ilifanyika kwa kuzingatia neat installation na functionality ya mfumo.
Services Provided
Flamingo Lodge
Flamingo Lodge, Mbingu, ni moja ya projects tulizofanya kwenye hospitality sector. Tulitoa TV systems pamoja na CCTV installation kwa ajili ya entertainment na security monitoring.
Services Provided
Chicken Feed Factory
Tulifanya CCTV installation kwenye kiwanda cha chakula cha kuku kilichopo Mtawala, Morogoro mjini, kwa ajili ya security monitoring ya eneo la kiwanda.
Services Provided
Need a Professional Installation?
Kama una property, lodge, hotel, business au project inayohitaji CCTV, TV systems, WiFi, smart locks, fire alarm, sound systems au ICT solutions, wasiliana nasi tujadili mahitaji yako.
Talk to MM Installers on WhatsApp →