Our Services
Huduma TunazotoaProfessional security, television and ICT solutions delivered with quality workmanship and attention to detail.
Tunatoa huduma za kitaalamu kwa ubora, usalama na umakini katika kila kazi.CCTV & Surveillance
Kamera za UlinziProfessional CCTV installation and surveillance solutions for homes, businesses and commercial premises.
Bofya HapaTV & Satellite Systems
Ufungaji wa TV na DishProfessional TV mounting, satellite dish installation and complete television system setup.
Bofya HapaICT & Networking
Mitandao na Huduma za ICTReliable networking, internet infrastructure and ICT solutions for homes, offices and businesses.
Bofya HapaElectric Fence & Security
Electric Fence na UsalamaProfessional perimeter security solutions designed to protect homes, businesses and commercial premises.
Bofya Hapa
Mustapha Madish Installers
Mustapha Madish Installers is a professional installation and technology solutions company providing CCTV, television, security and ICT services across Tanzania.
Tunazingatia ubora wa kazi, usalama na umakini katika kila installation tunayofanya. Timu yetu inafanya kazi kwa weledi na kuhakikisha kila mfumo umefungwa kwa usafi na ufanisi.
Kwa Nini Uchague MMI?
Tunatoa zaidi ya installation — tunatoa suluhisho linalojengwa kwa ubora, uzoefu na uaminifu.
Ubora wa Kazi
Tunazingatia workmanship safi na installation inayodumu kwa muda mrefu.
Uzoefu
Tuna uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika security, TV na ICT solutions.
Ufungaji wa Kitaalamu
Kila mfumo unapangwa na kufungwa kwa umakini na weledi.
Msaada wa Kuaminika
Tupo kwa installation, troubleshooting na technical support.
Tunawahudumia Nani?
Tunatoa suluhisho la mifumo ya usalama, TV na ICT kwenye nyumba, biashara, taasisi n.k. Kwa SITE ndogo na kubwa popote Tanzania.
Nyumba & Makazi
Security na TV solutions kwa nyumba na makazi.
Hoteli & Hospitality
Mifumo ya TV, CCTV na ICT kwa hoteli na hospitality.
Benki & Taasisi za Fedha
Suluhisho za usalama na surveillance kwa taasisi.
Ofisi & Biashara
CCTV, TV na ICT solutions kwa biashara na offices.
Hospitali & Afya
Mifumo inayosaidia usalama na miundombinu ya teknolojia.
Shule & Taasisi
Security, networking na TV systems kwa taasisi.
Viwanda & Industrial Facilities
Security na ICT solutions kwa maeneo makubwa ya viwanda.
Matukio Maalum & Events
TV, CCTV na technology solutions kwa events, exhibitions na matukio maalum.
Una Mradi? Tuwasiliane.
Wasiliana na MMI kwa ushauri, quotation au suluhisho la kitaalamu la security, TV na ICT.
Wasiliana Nasi